Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2017

Nyashinski - Aminia Lyrics

Yey Niko hapa kuwapa mziki mzuri wako hapa kuwa famous Ama juu waliskia ma rapper wanapendwa na madem wanajiita lyricist Video gets a million views ahh Nyashinski  yeah Cedo  Ati Nyashi area si ulikam na ubaya Iko watu husema heri ungekwamia ulaya Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire Secular lakini unaandika gospel fire Shinski Si live a lie, najua nta sound kama niko ma drei juzi walai Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai  Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai TRUE STORY Klepto si mtarudiana lakini Hatujai achana tunaruadiana kwanini Na machali wa Inshalla mi name na hawa vijana wawili Tutazidi sana kando na kukosana ni ya nini Tusipimane akili mi nina kichaa Waambie waache kujichokesha akili mi ndo teacher Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear ona nimimi una prefer Chorus AMINIA Oh nana nana na na na na AMINIA Oh nana nana na na na na Eh AMINIA Oh nana nana na na na na  Eh AMINIA O...

Nyashinski - Malaika Lyrics

Uuuuu….—uuuuh yeah yeah  yeah eeeeh eh yeah yeah oooh  eeeh oooh ooh oh nananana nanah oh I love you bae…iiiibe yeeih yeeeh  yeeiiiih verse 1 Uko na tabia za kupendeza roho Tabasamu ya kupapasa macho Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo Urembo wako ulininasa roho siku ya kwanza kukuona kwa macho Sa moyoni umekwamia siwezi  kutania njoo unipunguzie mawazo And I feel you in my air when I breath  I see you in my dreams when I sleep You are the one I have been waiting for all my life Deep down my heart I believe nakufeel unanifeel hii ni real The one I have been waiting for my life chorus Uko sawa na wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndo mama yao Ni wewe nachagua sisemi nao , sisemi Oh baby Uko sawa na wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndo mama yao Wewe  nachagua sisemi oh sisemi oh—sisemi Uuuuh oh ilove you babe oh yeeah yeah yeah iih yeah verse 2 And even  though I’ve never been here ...

Willy Paul - Yes I Do Lyrics ft. Alaine

Love is a beautiful thing created by God (beautiful) He who finds a wife finds a good thing (good thing) Teddy B, Willy Paul and Alaine some saxophone sawa happy day Poze Poze Poze is in love (x2) Hello baby si unajua siku kuu ni leo Hello baby si unajua siku yetu leo Hello baby si unajua nakuoa leo Hello baby lile cake twalikata leo Hello baby baby baby Wewe ndi0 sweet pie we ndio nyama choma My sweet angel my oxygen yooh Say yes I do (yes I do) Baby baby yes I do (yes I do) Say yes I do (yes I do) Baby baby yes I do (yes I do) Say yes I do (yes I do) Baby baby yes I do (I do) Yes I yes I yes I do uh baby baby yes I do aah Yes I yes I yes I do uh baby baby yes I do aah Nimekubali mwito wako tena sito laugh at you Vile ulikubali mwito wangu nika fall in love with you Hello baby (sema) I really need to spend my life with you Baby yes I wanna be your wife boy I can only tell you yes I my heart I had a love dream like you yes Baby take my finger put a ring on it I thank ...

Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya Lyrics

Mmm mmm Mama ananambia Nassib mi ni mtu mzima na wee ndo nakutegemea Yanayotokea jaribu kupiga kimya usidiriki ata kuongea Mara nasikisikia vya aibu konda gwajima eti ugomvi umekolea Kuchunguza karibu ni binti mmoja kwa mitandao wanachochea Najariibu kunyamanza ila moyo hutakii Unaniambia eti simba japo unguruma uisemee hakii Ooh najaribu kunyamanza ata Laizer hataki yooh Anasema walau nena kidogo hiih Na mashabiki Dangote wananiambia mbona husemi chochote ah Si uko nao siku zote ama ulezi unafanya uogope ah Na media pande zote wanalalama kiongozi atoke eh Nchi inaingia matope niende wapi na mi mtoto wa wote Yani lawama wacha nikae kimya  nisiongee (Kimya) Ooh ninyamanze mimi (Nikae kimya) Nisiseme (Kimya) Mama kaniambia (Wacha nikae kimya) Ooh nifunge mudomo (Kimya) Mie bado mudogo sana (Nikae kimya) Nisiseme (Kimya) Mmh ni mengi majaribu najitahidi epuka yasije nikost Japo mengine swadakta mengine hayana maana Rafiki kipenzi wa karibu hata nyimbo yake sikuweza ipost Ila...

Mercy Masika - Shule Yako Lyrics

Baba nichukue ooh Baba nichukue nifunze nataka kusoma Kwa shule yako kwa shule yako Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Nikiwa nawe kama mwalimu ninajua nitahitimu Nitashinda adui akileta majaribu Unitayarishe unibadilishe mtihani nipite mwito nitimize Nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako Nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako Baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Shule yako hatudanganyi ni ukweli na uwazi Wanafunzi hawagomi mwalimu atujali Unifunze mipango wote niwaheshimu Yesu ni mwalimu Yesu ni mwalimu Nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako Nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako Baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako (x2) Oooh nifunze baba

Bahati ft Rayvanny – Nikumbushe Lyrics

Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Nikumbushe eh unikumbushe he nikumbushe eh unikumbushe Leo nyota imeng’aa nasahau nilikotoka Naidharau mitaa na mateso niliyosota aie Ndugu zangu kinyaa mafukara wananichosha Niache wafe na njaa nijisifu nitawanyosha eh Siri kwetu Kisumu bondo chakula haina swaga Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na burger eh Uniepushe maulana nisiishie njiani aah Unikumbushe ya jana kesho nipe thamani Kwenye maisha ya muziki ukiwa na upendo utaishi Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa kugombania viti Eti nimuache mama kwenye dhiki kisa mambo yangu yametiki Akipiga simu siishiki nikipokea nimwone kama shabiki Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Nikumbushe eh unikumbushe he nikumbushe eh uniku...

Christina Shusho – Akutendee Nini Lyrics

Halleluyah Yesu ni Bwana na wala hana mpinzani … Still alive! Wataka akutendee nini? Akutendee nini wee (x2) Neno moja nalitaka kwa bwana nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Ghala lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo Akutendee nini wee Wengine wanataka kuwa raisi wa nchi wengine wataka ubunge Nawe akutendee nini wee Mwengine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke Wataka akutendee nini wee Mama huyu ombi lake apate mtoto mwengine apate elimu Wataka akutendee nini wee mwambie mwambie mwambieee Wataka akutendee nini (mwambie) Akutendee nini wee (anasikia mwambiee) (x2) Wataka akutundee nini (atajibu mwambie) akutendee nini wee Nakumbuka mgonjwa birikani myaka thelathini na nane Alikuwa hajiwezi yeyee Yesu akatembelea birika lile akamuona mgonjwa yule Mara akaanza sababu zake (Malaika akifika anaingia kisimani anatibua maji na mimi nakua wa mwisho) Hee wataka akutendee nini wee Yesu akasema neno moja lishike godoro lako na uende uendee mara ak...

Kijuso Lyrics - Ray Vanny ft. Queen Darleen

Eyoo Laizer Wasafi Records Unaringa kitu gani we mwenyewe jisute Afadhali hata nyani sio we mwanamke Hupendezi asilani so unyoe au usuke Nilifuata kitu gani umefanya nijute Mi nakuona punguani na usikurupuke Kwanza naongea na nani naomba nikumbushe Mi na wee hatuendani jipandishe jishushe Usinipande kichwani number yangu ifute Hizo dharau bwana mpya ulopata Naona unasahau nyuzi zako nilikata Nimepanda dau mkataba nimekata Tena Nyang’au ndo ukome kunifuata Unaringa una nini kijuso vijimeno kama jini gaucho Kwani nawe una nini kituko uso na kazi mjini upo upo Punguza kelele mama kelele acha kelele mama kelele Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele Eti nawe unaviimba perfume tu mtihani Kwanza shati ulovaa umeazima kwa nani? Wanifuataa kapuku utanipa nini? Nilikuachaa leo kimekuwasha nini? Funga bakuli mbele yangu we mshamba Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga Kati unanuka moshi huna hata ishu Kwenye pochi wanja na tishu Unapenda ganda la ndizi kuteleza Wakati...

MwanaFA Featuring Vanessa Mdee – Dume Suruali Lyrics

We ni dume suruali kaa mbali nami mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami huendani nami Hudat hudat hii ni salam na ufahamu Kama unauza mapenzi siyo kwa binamu Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu Dume suruali dume kaptula Shauri zako ilimradi sipati hasara Usione utani me sihongi hata kwa ishara Utaniambia nini mpaka unigeuze fala Kwanza nasikia hongo zinaleta mkosi Sentano yangu hugusi hata ukiongea kidosi Yabaki mapenzi tusileteane ujambazi Hata upige sarakasi utachonga viazi BAHILI KAMA NINI!!!!Ndiyo mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada! Hunitakii mema We ni dume suruali kaa mbali nami mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami huendani nami I want that Gucci, Fendi, spend it on the girl like me My name is Vee Money, money spend it on the girl like me Nihonge nanunua nini kwa nini yaani! Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani? Usiulize n’takupa nini dada piga moyo konde Viuno vingi kama mwali...

Nay Wa Mitego – Mapenzi Au Pesa Lyrics ft Diamond Platnumz

Haya wee, haya haya wee , haya wee haya haya wee (haya wee) Haya wee, haya haya wee haya wee haya haya wee Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye mapenzi kupeti bwana Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya Ah mapenzi pesa wasikudanganye ni kupeti bwana Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya Kama mapenzi shilingi (eeh) mi nimetoa hadi Murano nikakimbiwa (Okay) Vijonjo vingii (ehee) na udangote nlonao nikakaziwa Wee ukitoa Murano mwanzako anatoa Benz mapenzi ni mchezo wa kishenzi Pesa mbele ndo atakuenzi kiulaini tu kama Zenji Si umeyasikia ku…Aunt kwa Moze alivyotulia bila hata chomvi na mtoto kabisa akamzalia Si unakumbuka ya Wolper? (aah wapi) Dallas kuchoka (saa ngapi) Si akaondoka tatizo unasikiliza sana magazeti Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye mapenzi kupeti bwana Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya Ah mapenzi pesa wasikudanganye ni kupeti bwana Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya Si unakumbuka kipindi kile we unat...

Harmonize - Show Me (Unavyo Densi) ft. Rich Mavoko Lyrics

Ai mwenzako I feel so Good, kipindi nikikuona Au Huo Mwendo Unafanya kusudi na Ulivyoshona Wakati Unakwenda au unarudi wakata Kona Nyuma Ka Katuni za Masudi UlivyoNona Hivi Unapenda wa Vifua ka Roboti ama Sanamu Au wazee wa Kununua Mwaga Noti akina Salamu Ooooh Anita macho kama unaniita, aaah saa Sita Shepu Vera Sidika aaah Anita Macho kama Unaiita aaah saa Sita Shepu Vera.. Ah Show Me Show Me Show Me ( Unavyodance) Show Me Show Me Show Me (Waonyeshe Unavyodance) (x2) Umenifinyanga kama Dona Mmakonde na Ndonya Kama Mpira Maradona Kichuya Kona Na wakisema Na mawenge Waambie Werrason Wakiringisha Peremende Nitakugawia koni Chunga Kipenzi Majaribu Mabaya sana Oooh Na wee Ndo Dokta wa Kunitibu Niwe Salama Ooooh Oooh baby Anita macho kama Unaniita aaah Saa Sita Kiuno ka Yondo Sister aaaah Anita macho kama Unaniita aaaah Saa Sita Kiuno ka Yondo Sister Ah Show Me Show Me Show Me ( Unavyodance) Show Me Show Me Show Me (Waonyeshe Unavyodance) (x2) Asa Mombasa Nairobi (Sakata Dan...

Ray Vanny - Mbeleko Lyrics

Wa Safi Mmmmh alisemanga dunia ina mapambo yake eeh ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh nimezunguka aah, nimefika kwake eeh siwezificha nimeshanasa kwa pendo lake eeh halabaani kakuumba kimwana, mwenye sifa ya upole ata mama kakusifu sana, kitofauti na wale (wajane) kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa. unipulize nipoe We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day x2 Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe) x2 We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe) Na jicho lako lakungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe) eeh ummmh umh Umenivuta kwa ulembo mpaka matendo umenikamata kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata (x2) koleza motoo tupike tembele kisamvu cha nazi njegele sisi kutishe kelele sikwachi iih Linda nashamba wasije ngedele, kuku niitee kwa muchelee Mii sipigani na wewe manatii iih Ndio manaa kwako nimezamaa sitaki mii wanitowee mama maaa Unipulize nipoee We ndo my queen baby my only, sito...

Jux - Umenikamata Lyrics

Nisikilize ninavyoimba naa pia navyopiga Guitar Naona Watu wamependeza aah nyuso zao zimejaa furaha (furaha,ahhh) Najua Ujue Leo hii kitatokea nini Najua ujue leo hii nitakuambia nini (nitakuambia nini,Darling) I do these for you (these for you) I Do these for you (these for you)(I do these for you) I do these for you (I do these for you) These for you (I do these for you) I do these for you (I do these for you) These for you Najua napenda Kukuona wewe ukiwa na furaha (ahhhh) Najua thamani na heshima Yako kweli unanifaa Umenikamata weee umenikamata (X4) Haki ya Mungu wewe ni mzuri you are so beautifull Na Mungu Kakujalia hauna chembe ya Kiburi Wewe ni msafi wa Roho I don’t wanna let you go I wanna marry you girl and nothing comes between us Am gonna give you my Loving and make them wanna be us I do these for you (these for you) I do these for you (these for you)(I do these for you) I do these for you (I do these for you) These for you (I do these for you) I do these for you ...

Harmonize - Happy Birthday Lyrics

Kwanza nina furaha nitaimba na kucheza (na kucheza) Washa mishumaa weka keki juu ya meza (juu ya meza) Oh ila usinicheke nimekuletea zawadi kidogo nilichobarikiwa Aki mwana mpweke aje na dumu la maji asije kakumwagia Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema Happy birthday Happy birthday to you X4 Ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa Zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng’ombe au malewa Ila usiforget kusema asante baba na mama walokukuza ukakua Tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema Happy birthday Happy birthday to you X4 Kata keki kata (kata) oh kata (kata) kata (kata) kata unilishe keki ya jina lako (kata) walishe na wenzako (kata) tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilishe Oh basi kata (kata) oh kata (kata) kata nipone (kata) kata (kata unilishe) K...

Navy Kenzo Lyrics - Lini ft. AliKiba

Verse 1 (Aika) : Nakuthamini kama dolla Wala usije nichora Ukaniletea ukora..... Chochote unachotaka we hu decide Kwenye mabaya we huni guide You're my baby can't deny Baby hmm (Eeeh) You got my spirit to rise I'm popping (Eeeh) She like a ride to the heavens I'm a puppet X2 Chorus: Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi) Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love) When you wanna fall in love with somebody When you wanna get a lot with somebody Verse2(Alikiba) Atokee kwa bibi Amfunge vikali Akipasi maujanja baby Na me nitamkubali eh Amfunze maujanja (ujanja ujanja) Asiende kwa mganga(mganga mganga) Nimejawa na ma lover lover Hakuna expire Nitalinda na kulea lea Kama mtoto wa jana Nimejawa na ma lover lover Hakuna expire Nitalinda na kulea lea lea lea Leeee.. Chorus: Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi) Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love) When you wanna fall in love with somebody When you wanna get a lot with somebody Verse3(Nahreel): Kuna siri kubwa juu y...

Navy Kenzo Lyrics - Morning

All my life all my life I’m waiting yeah All my life I look at you daily yeah All my life you make it amazing yeah All my life your love I’m inhaling yeah Turn around I wanna see your face in the morning You turn around, am not gonna give you a warning (X2) yeah Yeah I got you anytime you need me honey Around you I treasure every moment I got you anytime you need me honey Around you I treasure every moment Look here baby would you come for a moment (come for a moment) If you still can’t baby would you come in the morning (come in the morning) (X2) All my nights all my nights I’m waiting All my nights I look at you daily All my night you make it amazing All my night your love I’m inhaling I’m feeling like ifike in the night nikuone I’m feeling like I’m gonna have it all in the morning (X2) Yeah I got you anytime you need me honey Around you I treasure every moment I got you anytime you need me honey Around you I treasure every moment Look here baby would you come for a...

Darassa - Utantoa Roho Lyrics

Ooh mwana mama ooh ooh mwana mama ooh Moyo ukishaga simama kidedea Utajikuta unapiga na kujichezea Mtu ukipenda you don’t care Hujui unakokwenda you don’t scare Unanifumbua macho kama sio dili Na bado kukikucha kwako niko willing Kufanya vitu kama sinaga akili Ni sawa mtu ale mi nilipe bill Nacheka nje ndani uko fire Mapenzi ya msala yanaumizaga vibaya Pressure inashuka kupanda Kuwaza kuwanda kwa giza na mwanga Macho lakini hayakuonyesha Unacheka na vitu havikuchekeshi Nimesha poteza sina confidence Unasema unapendwa bila evidence Utantoa roho wee utaniua utantoa roho Utantoa roho (baby mwana mama ooh) wee utaniua Utantoa roho (baby mwana mama ooh baby mwana mama ooh baby mwana mama ooh ) Ah refa akishaita mpira kati ndio basi Na hakuna cha ku discuss Kuna wakati bora kuisikiliza nafsi Maana pesa makaratasi In fact samaki hana reverse Maajabu ya dunia ulionaga wapi Kinyonga kakimbia mbio za farasi Maneno yakashutigi kama risasi Twanga na kupepeta chekecha Haisaidii kama vil...

Alivyonipenda Yule Lyrics - Otile Brown ft. King Kaka

Verse 1 - Otile Brown Saa zingine anayekupenda humpendi Unapenda mwingine Anayependa mwingine hata asiye mpendanga Na kila mtu anataka type yake Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga Chorus Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga Verse 2 - Otile Brown Yule aliyenipenda bure Nikamuacha kwa ajili yake yule Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana Kweli macho yalinihadaa Haki macho yalinihadaa Alivyonipenda kwa bidii Suzeed kanionya mimi sisikii Urembo pekee hauridhishi inahitaji zaidi Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu… Type yangu, ni yule anaenienzi Ina maana gani, uwe na msichana mrembo Dunia Nzima, na hakupendi Ina maana gani uwe na mume Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini? Chorus Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga Verse 3 - King Kaka Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless Nikimuona nasinzia ka nameless Uko? Ntakuja kalesa Love ilikuwa genuine than l...

Aslay - Angekuona (Mama) Lyrics

Mmm yee mmm eeh nono yeee mmh Yani raha hata tukilala na njaa kila saa nakuona mpya mamy Tena raha huku ninavimba kitaa unang’aa hata kwenye giza mamy Basi tulia eeh kama maji kwenye mtungi baby nitakulea eeh ili mradi unipe heshimaa Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana Ooh I wish angekuona maaa mama angefurahi mama maaa mama Eeeh mama yangu mama maaa mama angefurahi mama maaa mama Navyo mjua mama angekupa vitenge tena bila iyana na kikapu cha embee Ana viwanja mamaa agekupa ujenge na ukirudi kwangu upate mwango wa chang’ombe Umeondoka mama imekuja zawaadi nabaki nalia nalia sina budi Fikra tupa mwana naogopa dhambi ila nakuombea ulale pema kwa bosi tuliaaa Kama maji kwenye mtungi baby nitakuleaa eh ili mradi unipe heshima Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana Ooh I wish angekuona maaa mama angefurahi mama maaa mama Eeeh mama yangu mama maaa mama angefurahi mama maaa mama Wuwuwu...

Harmonize - Niambie (Umenipendea?) Lyrics

Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga ah Oooh mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano kipande Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadange Niweke wazi nikipi kinafanya unipende Niambie tell me baby love oooh basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo Niambie ooh basi niambie (tell me babe oh) oh basi niambie Usije nitenda ukaniumiza roho Siku hizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea ndumba umenipendea rumba Vipi nikija kudunda oooooh oooh Usije mgezea punda ukaniachia Ngunga Mbona kumendea chungwa ooh Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpa...

Nuh Mziwanda - Anameremeta Lyrics

Wanasema sare sare maua tunafanana Shida zetu wenyewe tunazijua tunaendana Mwenzangu kamoyo kangu kadogo kukuru kakara kanashindwa Hakuna manati bila kipago bila ya wewe nitashindwa Macho yangu ninafumba sitamani mwingine Na penzi langu sio tunda akang’ata mwingine Hado hado tunajikongoja tutafika domo macho ukaribu wetu kama mapacha hado hado Tunajikongoja tutafika domo macho ukaribu wetu kama macha Anameremeta anameremeta Kasura kake kazuri anameremeta Mcheshi hana kiburi anameremeta Kanipa mtoto naringa anameremeta Tumbo joto amevimba anameremeta Suti na shera kama masihara harusi imefika Sina papara ubachelor jiko nimevuta Kiziwi kweli hasikii na kipofu haonii Mi kuwa kwako sijutii utamu kisogoni Litunze penzi langu mama maradhi ni mengi wee Maji kupwaa nisije kuzama penzi sio vazi liazimwee Hado hado tunajikongoja tutafika domo macho ukaribu wetu kama mapacha hado hado Tunajikongoja tutafika domo macho ukaribu wetu kama macha Anameremeta anameremeta Kasura kake kazur...