Skip to main content

Navy Kenzo Lyrics - Lini ft. AliKiba

Verse 1 (Aika) :
Nakuthamini kama dolla
Wala usije nichora
Ukaniletea ukora.....
Chochote unachotaka we hu decide
Kwenye mabaya we huni guide
You're my baby can't deny
Baby hmm

(Eeeh)
You got my spirit to rise I'm popping
(Eeeh)
She like a ride to the heavens I'm a puppet X2

Chorus:
Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi)
Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love)
When you wanna fall in love with somebody
When you wanna get a lot with somebody

Verse2(Alikiba)
Atokee kwa bibi
Amfunge vikali
Akipasi maujanja baby
Na me nitamkubali eh
Amfunze maujanja (ujanja ujanja)
Asiende kwa mganga(mganga mganga)
Nimejawa na ma lover lover
Hakuna expire
Nitalinda na kulea lea
Kama mtoto wa jana
Nimejawa na ma lover lover
Hakuna expire
Nitalinda na kulea lea lea lea Leeee..

Chorus:
Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi)
Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love)
When you wanna fall in love with somebody
When you wanna get a lot with somebody


Verse3(Nahreel):
Kuna siri kubwa juu yako na mimi
Kukupata mpaka kuwa wangu my queen
Nikikuzima me tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chini chini
Si wajua mwanzo wako we na mimi yo
Kukupata mpaka kunijibu ndio
Nikikuzima me tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chini chini
Nikitaka Ile kitu baby wangu come now now now
Gimme some more baby now now now
Look at my eyes baby now now now
Sex in the morning now now now
Whine for me baby now now now
Bring it turn over
Don't blame me baby
Don't flex it baby
Don't fake it

Chorus:
Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi)
Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love...)
When you wanna fall in love with somebody
When you wanna get a lot with somebody X2

Nakuthamini kama dolla
Wala usije nichora
Ukaniletea ukora X2

Popular posts from this blog

Rayvanny ft. Zuchu - Number ONE (English Translation)

Verse 1: Rayvanny: Macho yalikuona, moyo ukakuchagua - My eyes saw you, and my heart chose you Mdomo ukasema nakupenda aah - My mouth said, "I love you"  Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua - Tell whoever heart you before that you're now alright Maumivu yamekwenda - All the pain of the past is now gone.  We ni zawadi nilopewa - You're the gift that I was given Macho nipepese wapi - Where else shall I look, I have only eyes for you Mi kipofu kwako sioni - I'm like a blind man, my vision is only for you Penzi limetaratadi, napepewa - My love, you confuse me with  Harufu ya marashirashi - The scents of your perfume   Nikitouch touch shingoni -  whenever I touch your neck Uvae baibui khanga,  Viatu vya kuchuchumia kangaroo,  Kisimatui tanga,  We huba nifukizia pambe tu Ukizungushia shanga, Inashuka inapanda chini juu, Nishatafuna karanga, Sasa chumba ndo kiwanda watoto tu iyee iyee ( You look good both with a buibui (shawl), or a khang...

Diamond Platnumz - Sikomi (Translation in English) Lyrics

Verse 1 Wanasemaga mapenzi safari,  Unavyopita ndo jinsi unajongea They say love is a journey, the more you move the closer you get (to real love) Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea But it seems I'm going far, and I'm not sure I'll reach since I'm walking . Niliposikiaga Habari,  Yakisifika nikakesha nangojea I heard the news of praises (when starting off as a musician) I stayed up at night waiting Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea God poured his blessings and I delved into music,  Ile pruuu mpaka Macca,  Nikadandiaga Bongo movie,  Kumbe mapenzi hayataki haraka While still in my pilgrimage (not yet 'arrived' as a musician), I hoped on to (fell in love with) a 'movie artist'  I still didn't know "love is slow"/love requires patience, there's no need to rush Ni kama tango natia tu chumyi I was impatient adding salt, eating a fruit when it wasn't yet ripe (Okay the word tango means a fr...

Beka - Natumaini Lyrics

Ni upendo, natamani nikuone japo sura iniponye… We ndio nyota yangu kama TID Nikuudhi usinikimbie kama Amini Natumaini utanielewa zaidi ya yule Beka Nikuudhi ntakubembeleza kama Barnaba boy Usininywishe sumu ya mapenzi, Usiwe mama mbaya Mimi sio mgeni wa mapenzi, mwaumivu nayajua Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Ooh daima na milele mi nitakuwa nawe Maisha yangu yote kama Marlaw Daima na milele eeh mimi nitakuwa nawe, maisha yangu yote aah Hutosema bora ukimbie, kama Lina ooh Usiende kwa mganga kama Kasimu ooh