Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga ah

Oooh mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadange
Niweke wazi nikipi kinafanya unipende
Niambie tell me baby love oooh basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo
Niambie ooh basi niambie (tell me babe oh) oh basi niambie
Usije nitenda ukaniumiza roho

Siku hizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea ndumba umenipendea rumba
Vipi nikija kudunda oooooh oooh
Usije mgezea punda ukaniachia Ngunga
Mbona kumendea chungwa ooh
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea ndumba umenipendea rumba
Vipi nikija kudunda oooooh oooh
Usije mgezea punda ukaniachia Ngunga
Mbona kumendea chungwa ooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
Niambie (tell me baby love) ooh basi niambie (vipi unanipenda ingali sina doo)
Ooh basi niambie usije nitenda ukaniumiza Roho
Umenipendea ah kipi mama umenipendea ah basi sema
Umenipendea ah umenipendea nini ingali sina doo
Umenipendea ah tell me babe loove umenipendea ah
Oh basi niambie umenipendea ah
Unanipenda ingali sina doo