Halleluyah Yesu ni Bwana na wala hana mpinzani … Still alive!
Wataka akutendee nini? Akutendee nini wee (x2)
Neno moja nalitaka kwa bwana nalo ni hili
Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu
Ghala lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo
Akutendee nini wee
Wengine wanataka kuwa raisi wa nchi wengine wataka ubunge
Nawe akutendee nini wee
Mwengine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke
Wataka akutendee nini wee
Mama huyu ombi lake apate mtoto mwengine apate elimu
Wataka akutendee nini wee mwambie mwambie mwambieee

Wataka akutendee nini (mwambie) Akutendee nini wee (anasikia mwambiee) (x2)
Wataka akutundee nini (atajibu mwambie) akutendee nini wee

Nakumbuka mgonjwa birikani myaka thelathini na nane
Alikuwa hajiwezi yeyee
Yesu akatembelea birika lile akamuona mgonjwa yule
Mara akaanza sababu zake
(Malaika akifika anaingia kisimani anatibua maji na mimi nakua wa mwisho)
Hee wataka akutendee nini wee
Yesu akasema neno moja lishike godoro lako na uende uendee mara akawa mzima
hee

Wataka akutendee nini hee (mwambie) Akutendee nini wee(mwambie Yesu mwambiee)
Wataka akutundee nini (anasikia mwambie Yesu mwambiee) akutendee nini wee
(Atajibu mwambie yeye mwambiee)

Iyelele mawee (mwambie) emawee
Iyelelele mawee (mwambie) emawee
Iyelelele mawee (mwambie) emawee (acha kulia mwambiee)
Iyelelele mawee (mwambie) emawee (mwambie mwambiee)

Wataka akutendee nini (ewewewee mwambie) akutendee nini wee
Maswali yako yeye ana majibu wataka akutendee nini
(Ee vilio vyako yeye atafuta) akutendee nini wee
(Mizigo yako yeye atatua) wataka akutendee nini (ee mwambie wee mwambie mwambie wee mwambie mwambie Yesu mwambiee mwambie Yesu mwambie ooh mwambie ooh mwabie nami leo namwambia)