Nisikilize ninavyoimba naa pia navyopiga Guitar
Naona Watu wamependeza aah nyuso zao zimejaa furaha (furaha,ahhh)

Najua Ujue Leo hii kitatokea nini
Najua ujue leo hii nitakuambia nini (nitakuambia nini,Darling)

I do these for you (these for you)
I Do these for you (these for you)(I do these for you)
I do these for you (I do these for you)
These for you (I do these for you)
I do these for you (I do these for you)
These for you

Najua napenda Kukuona wewe ukiwa na furaha (ahhhh)
Najua thamani na heshima Yako kweli unanifaa
Umenikamata weee umenikamata (X4)
Haki ya Mungu wewe ni mzuri you are so beautifull
Na Mungu Kakujalia hauna chembe ya Kiburi
Wewe ni msafi wa Roho I don’t wanna let you go
I wanna marry you girl and nothing comes between us
Am gonna give you my Loving and make them wanna be us

I do these for you (these for you)(I do these for you)
I do these for you (I do these for you)
These for you (I do these for you)
I do these for you (I do these for you)
These for you
I do these for you (these for you)(I do these for you)
I do these for you (I do these for you)
These for you (I do these for you)
I do these for you (I do these for you)
These for you
Najua napenda Kukuona wewe ukiwa na furaha (ahhhh)
Najua thamani na heshima Yako kweli unanifaa
Umenikamata weee umenikamata (X4)
Najua thamani na heshima Yako kweli unanifaa
Umenikamata weee umenikamata (X4)
Mamy namuomba Mungu akulinde akutunze na watoto uniletee
Wewe ni furaha yangu (yangu) maisha yangu (ni wewe)
Ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee