Skip to main content

Nyashinski - Aminia Lyrics

Yey

Niko hapa kuwapa mziki mzuri wako hapa kuwa famous

Ama juu waliskia ma rapper wanapendwa na madem wanajiita lyricist

Video gets a million views ahh

Nyashinski  yeah

Cedo




 Ati Nyashi area si ulikam na ubaya

Iko watu husema heri ungekwamia ulaya

Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire

Secular lakini unaandika gospel fire

Shinski

Si live a lie, najua nta sound kama niko ma drei juzi walai

Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai

 Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai

TRUE STORY

Klepto si mtarudiana lakini

Hatujai achana tunaruadiana kwanini

Na machali wa Inshalla mi name na hawa vijana wawili

Tutazidi sana kando na kukosana ni ya nini

Tusipimane akili mi nina kichaa

Waambie waache kujichokesha akili mi ndo teacher

Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear ona nimimi una prefer



Chorus

AMINIA

Oh nana nana na na na na

AMINIA

Oh nana nana na na na na Eh

AMINIA

Oh nana nana na na na na  Eh

AMINIA

Oh nana nana na na na na Eh

Ah  ah ah ah ah YEH

AMINIA (X3)



Kuna tenje  yangu Fulani  ye alibaki mteja tu

Na nkitoka niachange kwa keja tu

Najua ikilia ni mtu anataka favour tu

Kila onverstation ni kama DeJaVu

Maisha imejaa na watu fake si uongo

Visu wanandunga nkiwageuzia mgongo

Washa sense ntakafunga so wananyemelea

Siezi afford kumwaga unga najitegemea

Sieki imani kwa binadamu mimi

Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi

Ah, ka skupendi skufichi

No pretending hata simu zenu sishiki

Nkuwe beast kwanini, siko niamini mimi niko

Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia

Maybe tu argue beats au beer siezi argue iko rapper anatoa hita ka mimi

AMINIA



Chorus



Philosophy yangu ni Don’t worry chema chajiuza

Don Larry ama Martin Luther

Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi

Nkianza hii kitu ni watu wa few waliamini

Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake

Kwa jamaa zake na nyumbani kwake

Hii ni ya kila mtu  uliza ka anapenda rapper akaniambia ako 50-50

Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki but ameambiwa ati mziki hailipi

Kukopa juu ni passion basi kazi hata

Ka we ni rapper ati juu ni fashion hatukutaki hapa

Ilianza

Na ntaendelea hata ka najua ata hajalipwa

YEAH

Hii ni kwa mtu yeyote ako na dream

Siku moja joh niwewe wataita KING

Jione umpanda stairs jina umeshika

Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika

Schoki, schoki, schoki

Style mingi kushinda menu ya kinyozi

AMINIA

Naeza fly wengine hawatoshi

AMINIA

Aminia, aminia, aminia

AMINIA

Ah ah ah ah ah aye

AMINIA (x3)

Oh, nanana

AMINIA

Popular posts from this blog

Rayvanny ft. Zuchu - Number ONE (English Translation)

Verse 1: Rayvanny: Macho yalikuona, moyo ukakuchagua - My eyes saw you, and my heart chose you Mdomo ukasema nakupenda aah - My mouth said, "I love you"  Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua - Tell whoever heart you before that you're now alright Maumivu yamekwenda - All the pain of the past is now gone.  We ni zawadi nilopewa - You're the gift that I was given Macho nipepese wapi - Where else shall I look, I have only eyes for you Mi kipofu kwako sioni - I'm like a blind man, my vision is only for you Penzi limetaratadi, napepewa - My love, you confuse me with  Harufu ya marashirashi - The scents of your perfume   Nikitouch touch shingoni -  whenever I touch your neck Uvae baibui khanga,  Viatu vya kuchuchumia kangaroo,  Kisimatui tanga,  We huba nifukizia pambe tu Ukizungushia shanga, Inashuka inapanda chini juu, Nishatafuna karanga, Sasa chumba ndo kiwanda watoto tu iyee iyee ( You look good both with a buibui (shawl), or a khang...

Diamond Platnumz - Sikomi (Translation in English) Lyrics

Verse 1 Wanasemaga mapenzi safari,  Unavyopita ndo jinsi unajongea They say love is a journey, the more you move the closer you get (to real love) Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea But it seems I'm going far, and I'm not sure I'll reach since I'm walking . Niliposikiaga Habari,  Yakisifika nikakesha nangojea I heard the news of praises (when starting off as a musician) I stayed up at night waiting Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea God poured his blessings and I delved into music,  Ile pruuu mpaka Macca,  Nikadandiaga Bongo movie,  Kumbe mapenzi hayataki haraka While still in my pilgrimage (not yet 'arrived' as a musician), I hoped on to (fell in love with) a 'movie artist'  I still didn't know "love is slow"/love requires patience, there's no need to rush Ni kama tango natia tu chumyi I was impatient adding salt, eating a fruit when it wasn't yet ripe (Okay the word tango means a fr...

Beka - Natumaini Lyrics

Ni upendo, natamani nikuone japo sura iniponye… We ndio nyota yangu kama TID Nikuudhi usinikimbie kama Amini Natumaini utanielewa zaidi ya yule Beka Nikuudhi ntakubembeleza kama Barnaba boy Usininywishe sumu ya mapenzi, Usiwe mama mbaya Mimi sio mgeni wa mapenzi, mwaumivu nayajua Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Ooh daima na milele mi nitakuwa nawe Maisha yangu yote kama Marlaw Daima na milele eeh mimi nitakuwa nawe, maisha yangu yote aah Hutosema bora ukimbie, kama Lina ooh Usiende kwa mganga kama Kasimu ooh