Haya wee, haya haya wee , haya wee haya haya wee (haya wee)
Haya wee, haya haya wee haya wee haya haya wee
Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah mapenzi pesa wasikudanganye ni kupeti bwana

Kama mapenzi shilingi (eeh) mi nimetoa hadi Murano nikakimbiwa (Okay)
Vijonjo vingii (ehee) na udangote nlonao nikakaziwa
Wee ukitoa Murano mwanzako anatoa Benz mapenzi ni mchezo wa kishenzi
Pesa mbele ndo atakuenzi kiulaini tu kama Zenji
Si umeyasikia ku…Aunt kwa Moze alivyotulia bila hata chomvi na mtoto kabisa akamzalia
Si unakumbuka ya Wolper? (aah wapi) Dallas kuchoka (saa ngapi)
Si akaondoka tatizo unasikiliza sana magazeti

Si unakumbuka kipindi kile we unatoka na nenda kamwambie
Walisema una bonge la domo eti leo handsome si mtonyo ?
Saa ndo maneno gani? (ah ah) kabla hujafa hujaumbika usimuudhi Molana (Haya wee)
Tena usiombe yakakufika ya juzi sio jana (Ah Salaleeh)
Na bora niende zangu maana maneno yamekuishia
Nisije kuongea mwanangu mwishowe ukaja niharibia
Hata huyo Zari asingekupenda usingekua Diamond (Aah ziache dharau)
Usinidanganye (mi unanidharau) unatetea mapenzi umerogwa?
Mapenzi bila pesa si ushoga?
Aye lelele nasikia mbuzi kala mukeka binti kaenda kwao (lelelee)
Eti mafundi wamemuteka kakuachia mwanao
Sa nahisi unakosa adabu (aah unanionea) huna ustaarabu (mbona) yangu unayaongea
Na ntakupa adhabu ooh tatizo kitu kidogo mpaka tugombaneee

Haya wee, haya haya wee haya wee haya haya wee (haya wee)
Haya wee, haya haya wee haya wee haya haya wee….