We ni dume suruali kaa mbali nami mbali nami
Kama dume suruali kaa mbali nami huendani nami

Hudat hudat hii ni salam na ufahamu
Kama unauza mapenzi siyo kwa binamu
Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu
Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu
Dume suruali dume kaptula
Shauri zako ilimradi sipati hasara
Usione utani me sihongi hata kwa ishara
Utaniambia nini mpaka unigeuze fala
Kwanza nasikia hongo zinaleta mkosi
Sentano yangu hugusi hata ukiongea kidosi
Yabaki mapenzi tusileteane ujambazi
Hata upige sarakasi utachonga viazi
BAHILI KAMA NINI!!!!Ndiyo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada! Hunitakii mema

I want that Gucci, Fendi, spend it on the girl like me
My name is Vee Money, money spend it on the girl like me

Nihonge nanunua nini kwa nini yaani!
Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani?
Usiulize n’takupa nini dada piga moyo konde
Viuno vingi kama mwali wa kimakonde
Usipende hela kama mfuko
Au fanya unavyofanya upate zako
Vishawishi vingi binti sema na moyo wako
Na ujifunze pesa zinauza utu wako
Tajiri mtata kama Salah
Zipo ila sitoi sio bahili mi ni balaa
Unapenda hela zangu nami nazipenda pia
Kila mtu abaki na zake bye baby tutaongea
MWANAUME WA HIVYO WA NINI SASA!!! Ndo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema

Aje aje ajee mi mtoto fulani ghali yeah
Nihonge gari my sweet sweet baby ah
Wanna see you today unipeleke party yeah
Aje aje ajeee njoo nikupe TBT

Siyo kwa enzi ya Magufuli
Zali ilikuwa long siku hizi hakuna la mentali
Nikikuhonga na ukiniacha nitakujia usingizini
Naepusha shari matatizo yote ya nini
Hakuna kipya chini ya jua
Hata nisiyoyafanya nishayasikia
Ningekuwa mhongaji ningeshafulia wangu
Mademu wangu wa zamani wote wangekuwa maadui zangu
MWANAUME HOVYO WEWE!!!!! ndo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
Zali ilikuwa long siku hizi hakuna la mentali
Nikikuhonga na ukiniacha nitakujia usingizini
Naepusha shari matatizo yote ya nini
Hakuna kipya chini ya jua
Hata nisiyoyafanya nishayasikia
Ningekuwa mhongaji ningeshafulia wangu
Mademu wangu wa zamani wote wangekuwa maadui zangu
MWANAUME HOVYO WEWE!!!!! ndo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
Baki na hamu zako
We ni dume suruali kaa mbali nami mbali nami
Kama dume suruali kaa mbali nami huendani nami
I want that Gucci, Fendi, spend it on the girl like me
My name is Vee Money, money spend it on the girl like me
Kama dume suruali kaa mbali nami huendani nami
I want that Gucci, Fendi, spend it on the girl like me
My name is Vee Money, money spend it on the girl like me
Baba bure huyuu!!
Hata pantoni lina staff
Unamwambia nani sasa! Unamwaaambia nani sasa!