Ooh mwana mama ooh ooh mwana mama ooh
Moyo ukishaga simama kidedea
Utajikuta unapiga na kujichezea
Mtu ukipenda you don’t care
Hujui unakokwenda you don’t scare
Unanifumbua macho kama sio dili
Na bado kukikucha kwako niko willing
Kufanya vitu kama sinaga akili
Ni sawa mtu ale mi nilipe bill
Nacheka nje ndani uko fire
Mapenzi ya msala yanaumizaga vibaya
Pressure inashuka kupanda
Kuwaza kuwanda kwa giza na mwanga
Utajikuta unapiga na kujichezea
Mtu ukipenda you don’t care
Hujui unakokwenda you don’t scare
Unanifumbua macho kama sio dili
Na bado kukikucha kwako niko willing
Kufanya vitu kama sinaga akili
Ni sawa mtu ale mi nilipe bill
Nacheka nje ndani uko fire
Mapenzi ya msala yanaumizaga vibaya
Pressure inashuka kupanda
Kuwaza kuwanda kwa giza na mwanga
Macho lakini hayakuonyesha
Unacheka na vitu havikuchekeshi
Nimesha poteza sina confidence
Unasema unapendwa bila evidence
Unacheka na vitu havikuchekeshi
Nimesha poteza sina confidence
Unasema unapendwa bila evidence
Utantoa roho wee utaniua utantoa roho
Utantoa roho (baby mwana mama ooh) wee utaniua
Utantoa roho (baby mwana mama ooh baby mwana mama ooh
baby mwana mama ooh )
Utantoa roho (baby mwana mama ooh) wee utaniua
Utantoa roho (baby mwana mama ooh baby mwana mama ooh
baby mwana mama ooh )
Ah refa akishaita mpira kati ndio basi
Na hakuna cha ku discuss
Kuna wakati bora kuisikiliza nafsi
Maana pesa makaratasi
In fact samaki hana reverse
Maajabu ya dunia ulionaga wapi
Kinyonga kakimbia mbio za farasi
Maneno yakashutigi kama risasi
Twanga na kupepeta chekecha
Haisaidii kama vile double deka
Unajikuta kulia kucheka
Unacheza tuu ma breka mbuzi kala mkeka
Na hakuna cha ku discuss
Kuna wakati bora kuisikiliza nafsi
Maana pesa makaratasi
In fact samaki hana reverse
Maajabu ya dunia ulionaga wapi
Kinyonga kakimbia mbio za farasi
Maneno yakashutigi kama risasi
Twanga na kupepeta chekecha
Haisaidii kama vile double deka
Unajikuta kulia kucheka
Unacheza tuu ma breka mbuzi kala mkeka
Macho lakini hayakuonyesha
Unacheka na vitu havikuchekeshi
Nimesha poteza sina confidence
Unasema unapendwa bila evidence (x2)
Unacheka na vitu havikuchekeshi
Nimesha poteza sina confidence
Unasema unapendwa bila evidence (x2)
Utantoa roho wee utaniua utantoa roho
Utantoa roho (baby mwana mama ooh) wee utaniua
Utantoa roho (baby mwana mama ooh baby mwana mama ooh
baby )
Utantoa roho (baby mwana mama ooh) wee utaniua
Utantoa roho (baby mwana mama ooh baby mwana mama ooh
baby )