Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe
Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe

Nikumbushe eh unikumbushe he nikumbushe eh unikumbushe

Leo nyota imeng’aa nasahau nilikotoka
Naidharau mitaa na mateso niliyosota aie
Ndugu zangu kinyaa mafukara wananichosha
Niache wafe na njaa nijisifu nitawanyosha eh
Siri kwetu Kisumu bondo chakula haina swaga
Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na burger eh
Uniepushe maulana nisiishie njiani aah
Unikumbushe ya jana kesho nipe thamani
Kwenye maisha ya muziki ukiwa na upendo utaishi
Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa kugombania viti
Eti nimuache mama kwenye dhiki kisa mambo yangu yametiki
Akipiga simu siishiki nikipokea nimwone kama shabiki

Nimejawa na kiburi ukweli haupo nami
Alionifunzaga dini mama simwiti mummy
Roho imejawa na uhuni star najiona mi
Nikipita na kagari vumbi natupia wadhii
Niwe kama Peter kumkana Yesu mara tatu nikumbushe
Niwe kama Jonah kukataa kutumwa nineveh nikumbushe
Ah mwanabuja alionipa support namtusi ili mradi iwe kiki
Walionipa jina mashabiki leo nawaona wanafiki

Wasafi Records