Eyoo Laizer
Wasafi Records
Wasafi Records
Unaringa kitu gani we mwenyewe jisute Afadhali hata nyani sio we mwanamke
Hupendezi asilani so unyoe au usuke
Nilifuata kitu gani umefanya nijute
Hupendezi asilani so unyoe au usuke
Nilifuata kitu gani umefanya nijute
Mi nakuona punguani na usikurupuke
Kwanza naongea na nani naomba nikumbushe
Mi na wee hatuendani jipandishe jishushe
Usinipande kichwani number yangu ifute

Hizo dharau bwana mpya ulopata
Naona unasahau nyuzi zako nilikata
Nimepanda dau mkataba nimekata
Tena Nyang’au ndo ukome kunifuata
Unaringa una nini kijuso vijimeno kama jini gaucho
Kwani nawe una nini kituko uso na kazi mjini upo upo

Punguza kelele mama kelele acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele

Eti nawe unaviimba perfume tu mtihani
Kwanza shati ulovaa umeazima kwa nani?
Wanifuataa kapuku utanipa nini?
Nilikuachaa leo kimekuwasha nini?
Kwanza shati ulovaa umeazima kwa nani?
Wanifuataa kapuku utanipa nini?
Nilikuachaa leo kimekuwasha nini?
Funga bakuli mbele yangu we mshamba
Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga
Kati unanuka moshi huna hata ishu
Kwenye pochi wanja na tishu
Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga
Kati unanuka moshi huna hata ishu
Kwenye pochi wanja na tishu
Unapenda ganda la ndizi kuteleza
Wakati kupambana mpaka mchuzi wa Pweza
Dume zima tantalatantala instagram inahu
Kati kwenu kula kulala huchangii hata kitunguu