[Verse 1]
Eh! ushawasha,mimi nina stress zimejaa kwenye kichwa,
Mh! Sogeza kiti kaa,nikueleze machache yaliyonikutaa,
Kuna kijana,ananisumbua sana,
Mke wangu raha hana,nyumbani amani hakuna,

[Bridge]
Asi dhani mimi nimkimya sana,mwenzie naumia roho yangu,
Isije baadae mi kupata lawama, nikaharibu CV yangu,

[Hook]
Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae,
Nasema mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae,
Mkimwona mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae,
Eh! Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae,

[Verse 2]
Anapita kibarazani,nguo kashusha makalioni,
Anajifanya yeye muhuni,wenzie tulianza tisini,
Tutabadilishana majengo ya serikalini(aaaa),
Mimi niende jela yeye aende monchwari(aaaa),

[Outro]
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Huwa sipendagi zarau
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Mwambie anajisahau,
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Tutachukiana mama.
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Tutapeana lawama sana,
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Huwa sipendagi zarau
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Mwambie anajisahau,
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Tutachukiana mama.
Aiyo,Aiyo,Aiyoyo,
Tutapeana lawama sana,