We ndio nyota yangu kama TID
Nikuudhi usinikimbie kama Amini
Natumaini utanielewa zaidi ya yule Beka
Nikuudhi ntakubembeleza kama Barnaba boy
Usininywishe sumu ya mapenzi, Usiwe mama mbaya
Mimi sio mgeni wa mapenzi, mwaumivu nayajua
Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke
Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke
Ooh daima na milele mi nitakuwa nawe
Maisha yangu yote kama Marlaw
Daima na milele eeh mimi nitakuwa nawe, maisha yangu yote
aah
Hutosema bora ukimbie, kama Lina ooh
Ooh natumaini, kilio changu umesikia
Ooh natumaini, machozi yangu utafuta
Ooh natumaini, kilio changu umesikia
Ooh natumaini, machozi yangu utafuta
Aah aaah eeh aaaah eeh aaah eeh
Isiwe kama yako wapi mapenzi ooh uliyoniahidi kama yake Bela
Usinifanye mtele wa mapenzi Latifa aaya
Latifa we ndio tu mamii, Lati we ndio tu maamii
Mi nataka kuwa nawe kuwa nawewe tu
Ulonifanya kuwa nawe, kuwa nawewe tu
Embe dodo embe dodo, limelala mchangani,
Kwa uba na mazoweya uwe wangu wa milele
Mapenzi ni kuvumiliana na mimi penzi nitakuvumilia
Embe dodo embe dodo, limelala mchangani,
Kwa uba na mazoweya uwe wangu wa milele
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha asilani
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha asilani
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha asilani
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha asilani baby
Uuh ahhh
Ooh natumaini, kilio changu umesikia
Ooh natumaini, machozi yangu utafuta
Ooh natumaini, kilio changu umesikia
Ooh natumaini, machozi yangu utafuta
Aah aaah eeh aaaah eeh aaah eeh
…machozi yangu utayavuta mama… siniache miye….
Sijali umenitesa mara ngapi
Au nimelia mara ngapi
Usiniache miye, aah aah
Aah aah ooh
Usiniache miye