Natamba natamba aaaah
kilicho nishawishi upole wako na heshima yako
wazazi wangu wame kusifia sana kwa tabia yako
sura yako ya upole inanivutia aah shepu twiga
mwenda pole najivunia aaah

ooh tupeane mapenzi iwachome eeh
na kama namba waisome eeh
ata tukigombana wasione eeh
washike jembe wakalime eeh
na kama namba waisome eeh
ata tukigombana wasione eeh
washike jembe wakalime eeh
Mapenzi mazuriii wakutane wawili wanaopendana
sizidishe washauri watasababisha tuje kugombana
aaah eeh

aaaaa eeeeh angalia shepu aaa eeh
ka Wema Sepetu aaaa eeeeh angalia jicho
aaaa eeeh Hamisa Mobetto aaaa eeeh
ka rangi kake aaa eeeh Elizabeth Michael
aaaa eeeeh yani we mrembo aaa eeeh wah rai
nachukua jiko we ndo wangu wa milele

Nauza dagaa ili ni nunue motorcar nikuridhishe
unanipa furaha na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe tuna nyota ya adam na hawa ooh
tunavyo pendana ata wakituchukia ni sawa oooh
tu aminie mama wanaona umenipa dawa oooh wanaongea sana

chunga usije kuota mbawa oooh ukaniacha dilema
watabili pweza penzi litafika mbali (nitacheka kingereza)
ndo maana nacheza ya watu natupia mbali jamani
watabili pweza penzi litafika mbali (kwa kweli amtoweza)
ndo maana nacheza ya watu natupia mbali (basi bebi nikumbatie) aaa eeh
watabili pweza penzi litafika mbali (nitacheka kingereza)
ndo maana nacheza ya watu natupia mbali jamani
watabili pweza penzi litafika mbali (kwa kweli amtoweza)
ndo maana nacheza ya watu natupia mbali (basi bebi nikumbatie) aaa eeh
aaaaa eeeeh angalia shepu aaa eeh
ka Wema Sepetu aaaa eeeeh angalia jicho
aaaa eeeh Hamisa Mobetto aaaa eeeh
ka rangi kake aaa eeeh Elizabeth Michael
aaaa eeeeh yani we mrembo aaa eeeh wah rai
nachukua jiko we ndo wangu wa milele (milele)