Kwanza; mapenzi safari, ujana ni
maji ya moto, Walinenaga zamani
Mmmmh,
Pili; tumetoka mbali, Kwa matatizo changamoto, tu visavisa fulani
Eihhh, Oh
Tatu; kidonda chako kwangu maradhi, Mara tu usononekapo kwangu simanzi
Aih,
Tatu; kidonda chako kwangu maradhi, Oh yaani usononekapo kwangu simanzi
Bridge
Kwa
mahaba ulonipa, nimenogewa, Vurugu pata shika, Aih punguza kidogo
Na
mengine kadhalika, Toto si unanielewa, Hapo hapo uliposhika ukiongeza kidogo
Mie
mwezako ntaumia
CHORUS x2
You’re my number one (My sweetie sweetie My number one)
My baby Oh
You’re my number one (My darling, my number one)
Roho yangu mama (My number one)
VERSE 2
Na nina wivu sikatai, Maana uchungu wa mapenzi naujua
So usije kunilaghai, Kaja kuzama ukanizingua
Na nina wivu sikatai, Maana uchungu wa mapenzi naujua
So usije kunilaghai,
Mwenzio naogopa
{Now show me how they do (ngololoo…. X7)} X2
CHORUS x2
You’re my number one (My sweetie sweetie My number one)
My baby Oh
You’re my number one (My darling, my number one)
Roho yangu mama (My number one)
Oh Baby you’re…
{Now show me how they do (ngololoo…. X7)} X2
Nawatuache tulaleee….