Skip to main content

Posts

Jah Prayzah ft. Diamond - "Watora" Mari Lyrics

Jah Prayza oh darling, ukazunza mazakwatira watora mari,oh mari mama, oh darling, ano mira mira apa newe ndiani, wakanga uripiko inini ndiripo coz am falling every minute for you, i don't wanna let you go, baby show me something more, coz am falling every minute for you,

Chege - "Waache Waoane" ft. Diamond Platnumz Lyrics

Maji ya mtoto yamekuwa baridi lalalalaaaa Hakimu nimekuwa shaidi lalalalaa wiki ikishusha mateso yamezidi lalalalaa aloniliza ndo wakunikufariji lalalaaa Waache waoane waache waoane waache waoane waache waoane Yamedhibitisha macho lakini moyo unakataa Nimeamini kikulacho Ni yule unaona anakufaa

Diamond Platnumz ft. RayVanny - "Salome" Lyrics

Watch [Verse 1: RayVanny] Kioo hakidanganyi mama Umejipodoa umepodoka Mwendo na shape vyote mwanana Mi suruali yanidondoka Tukimbizane nini Salome wangu? Hiyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini Salome wangu? Ukimuona jongoo Inama kidogo Shika magoti Mi nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo sio roboti Chumbani bingiribingiri 'samasoti' [Chorus: Diamond Platnumz] Unantenkenyaga ukinyonga Salome (Unantekenyaga ukinyongaa) Unantenkenyaga ukinyonga kweli (Unantekenyaga ukinyongaa) Aaah orera bakuru vani Orera ngambee Orera na Zari ma Orera ngambe

Beka - Natumaini Lyrics

Ni upendo, natamani nikuone japo sura iniponye… We ndio nyota yangu kama TID Nikuudhi usinikimbie kama Amini Natumaini utanielewa zaidi ya yule Beka Nikuudhi ntakubembeleza kama Barnaba boy Usininywishe sumu ya mapenzi, Usiwe mama mbaya Mimi sio mgeni wa mapenzi, mwaumivu nayajua Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Ooh daima na milele mi nitakuwa nawe Maisha yangu yote kama Marlaw Daima na milele eeh mimi nitakuwa nawe, maisha yangu yote aah Hutosema bora ukimbie, kama Lina ooh Usiende kwa mganga kama Kasimu ooh

Elani - KooKoo Lyrics

Kuna watu hatari wenye mapenzi zenye siri kali Letu nalo lina jua kali Penzi letu serikali Wajua nakupenda malaika I’m going kookookoo so kookoo coz I love you Ayaya I’m going kookookoo so kookoo coz I love you Ayaya I’m going kookookoo so kookoo coz I love you I’m going kookoo nasijishuku why I love you Uuh ooh

Christina Shusho - Ee Bwana Umenichunguza Lyrics

Ee bwana umenichunguza, nakunijua Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu Umelifahamu wazo langu, tokea mbali Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote

Kambua - Bado Nasimama Lyrics

Bado nasimama Bado naendelea Bado najikaza Nifike kule Verse 1 Bila nehema na rehema zako, ningekuwa wapi Mimi Bila upendo, na fadhili zako, maisha yangu yangekuwa bure Kwa wema wako, kanisimamisha, Na Imani yangu, ukaiweka salama Kama si wewe, Mwamba wa wokovu wangu Nisingeweza. Ningeangamia. Chorus x2 Bado nasimama Bado naendelea Bado najikaza Nifike kule Verse 2 Nainua macho yangu kwako wewe Baba yangu Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu ukatika bwana Hasinzii anilindaye, Haniachi mimi niteleze Anipa nguvu, na uwezo wake, Ili mimi nifike kule Nifike kule…