Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2017

Diamond Platnumz - Hallelujah! ft. Morgan Heritage

Diamond Platnumz Hata akilala ananiota,najiita mbalamwezi kisa na nyota, Nimkande amechoka,nitembee na ulimi kote ka-nyoka, Mapenzi niongeze…..,Ka-bahari niogeleee……, Lord have mercy, speaking from my heart Damn she is so sexy, Mama give me blessing, I wanna off the light so i can speak dirty, she says she wants some more, Other than i kept before, The way she is dancing,oh, Touch me ,oh, Diamond I swear she make me say hallelujah, Yes she make me say hallelujah, She make me say hallelujah, Oh she……,hallelujah,hallelujah, Morgan Heritage (Peter) From One to a ten, She gets a ten ain’t no doubt about that, She is got this thing, That makes me wanna give her everything i got, The way she moves them hips when she walkking, Like she carrying em hips don’t lie, And when she hits dance floor it’s amaizing, She sets the place on fire, The way she rocks it and i brace it, Roll it one place and shake it, I put it on her and anticipate it, Oh! she is gonna let them brace it, Then i roll up a bun...

Diamond Platnumz - Zilipendwa ft. Wasafi Artists

[Intro: Diamond] Oooh! hizo ni zama za kale Oooh! Sangulo na pepe kale, Zilipendwa, Rayvanny Eh! Kizamani,kutoa card na mau(zilipendwa), Wanataka money ukilipa unakwarua(zilipendwa), Ufundi kitandani,sio maguvu kujikwamua(zilipendwa), Unafika ndani,hujatomasa unachanua(zilipendwa), Wanawake wa leo wanataka mikakati, Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati(zilipendwa), Mapenzi ya video yatakutoa kamasi, Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass(zilipendwa), Eeh! kupiga chabo getto(zilipendwa), Mkono na dettol(zilipendwa), Mche na kapeto(zilipendwa), MA J na Mobeto(zilipendwa), Diamond Oooh! Hizo ni zama za kale, Oooh! Sangulo na Pepe kale, Mmm bolingo ndombolo(zilipendwa), Twanga chipolopolo(zilipendwa), Na maji ya kandoro(zilipendwa), Simba wa Morogoro(zilipendwa), Rich Mavoko Tani sipati sukari guru kabisa(zilipendwa), Hivi yuko wapi Mb Dogg wa Latiffa(zilipendwa), Babu Tale wapi papa misifa(zilipendwa), Siku hizi party hatuendagi Ibiza(zilipendwa), Mpira na Pele(zilipendwa), Tanu ...

Aslay - Natamba Lyrics

Natamba   natamba  aaaah kilicho nishawishi upole wako na heshima yako wazazi wangu wame kusifia sana kwa tabia yako  sura yako ya upole inanivutia aah shepu twiga mwenda pole najivunia aaah ooh tupeane mapenzi iwachome eeh na kama namba waisome eeh ata tukigombana wasione eeh washike jembe wakalime eeh Mapenzi mazuriii wakutane wawili wanaopendana sizidishe washauri watasababisha tuje kugombana aaah eeh aaaaa eeeeh angalia shepu aaa eeh ka Wema Sepetu aaaa eeeeh angalia jicho aaaa eeeh Hamisa Mobetto aaaa eeeh ka rangi kake aaa eeeh Elizabeth Michael aaaa eeeeh yani we mrembo aaa eeeh wah rai nachukua jiko we ndo wangu wa milele Nauza dagaa ili ni nunue motorcar nikuridhishe unanipa furaha na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe tuna nyota ya adam na hawa ooh tunavyo pendana ata wakituchukia ni sawa oooh tu aminie mama wanaona umenipa dawa oooh wanaongea sana chunga usije kuota mbawa oooh ukaniacha dilema watabili pweza penzi litafika mbali (nitacheka kingere...

Fid Q - Fresh (Remix) ft. Diamond Platnumz & Rayvanny

[Intro: Fid Q] Nikipata cash.. nakua FRESH kama cucumber, nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba, kwenda resi sioni kesi Mr Ku-banda, yakijiset.. sikwepeshi naweka juu chanda.., Sio mtu wa kila mtu ila ni mtu wa watu, Mtu shantu,kuntu na ni mtu mbavu, Sio mtu kavu huyu mtu anautu na love, Lakini Sio mtu wa kila mtu na sio mpumbavu, Verse 1: Diamond Platnumz Ya,Nilipo sikia beat tu nikatama nifanye verse, Nikam-chek ngosha akanambia simba mbona fresh, Upesi upesi nikaandika ni murder case, Na sasa ngoma kitaani imenuka kama kinyesi, I’m start young kabla sijaitwa chibu Denga, Enzi hizo naitwa Domo,siku hizi eti lipsi denda(Fresh), Baba Tiffa mwaniita baba Nillan, Naskia naitwa baba Abdul,Kuna mambo mtaani!(Fresh), Mzuka ukipanda wakata viuno kama vanga, Kwa beat ya kubanda inayobakwa na muuza karanga, Ukinichukia sikosi hela,hivyo kwangu sio case, Kuni-compare na  Cinderella  haiwezi kuwa fresh, Simba……., Toka mbuga ya Tandale, Naona swala wana-force tuwe sare,sare,...

Aslay - Pusha Lyrics

[Verse 1] Eh! ushawasha,mimi nina stress zimejaa kwenye kichwa, Mh! Sogeza kiti kaa,nikueleze machache yaliyonikutaa, Kuna kijana,ananisumbua sana, Mke wangu raha hana,nyumbani amani hakuna, [Bridge] Asi dhani mimi nimkimya sana,mwenzie naumia roho yangu, Isije baadae mi kupata lawama, nikaharibu CV yangu, [Hook] Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae, Nasema mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae, Mkimwona mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae, Eh! Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae, [Verse 2 ] Anapita kibarazani,nguo kashusha makalioni, Anajifanya yeye muhuni,wenzie tulianza tisini, Tutabadilishana majengo ya serikalini(aaaa), Mimi niende jela yeye aende monchwari(aaaa), [Bridge] Asi dhani mimi nimkimya sana,mwenzie naumia roho yangu, Isije baadae mi kupata lawama, nikaharibu CV yangu, [Hook] Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae, Nasema mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae, Mkimwona mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae, Eh! Mwambi...