Ni upendo, natamani nikuone japo sura iniponye…     We ndio nyota yangu kama TID   Nikuudhi usinikimbie kama Amini   Natumaini utanielewa zaidi ya yule Beka   Nikuudhi ntakubembeleza kama Barnaba boy   Usininywishe sumu ya mapenzi, Usiwe mama mbaya   Mimi sio mgeni wa mapenzi, mwaumivu nayajua   Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke   Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke   Ooh daima na milele mi nitakuwa nawe   Maisha yangu yote kama Marlaw   Daima na milele eeh mimi nitakuwa nawe, maisha yangu yote aah   Hutosema bora ukimbie, kama Lina ooh   Usiende kwa mganga kama Kasimu ooh    
Get Your Lyrics Here