Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2021

Rayvanny ft. Zuchu - Number ONE (English Translation)

Verse 1: Rayvanny: Macho yalikuona, moyo ukakuchagua - My eyes saw you, and my heart chose you Mdomo ukasema nakupenda aah - My mouth said, "I love you"  Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua - Tell whoever heart you before that you're now alright Maumivu yamekwenda - All the pain of the past is now gone.  We ni zawadi nilopewa - You're the gift that I was given Macho nipepese wapi - Where else shall I look, I have only eyes for you Mi kipofu kwako sioni - I'm like a blind man, my vision is only for you Penzi limetaratadi, napepewa - My love, you confuse me with  Harufu ya marashirashi - The scents of your perfume   Nikitouch touch shingoni -  whenever I touch your neck Uvae baibui khanga,  Viatu vya kuchuchumia kangaroo,  Kisimatui tanga,  We huba nifukizia pambe tu Ukizungushia shanga, Inashuka inapanda chini juu, Nishatafuna karanga, Sasa chumba ndo kiwanda watoto tu iyee iyee ( You look good both with a buibui (shawl), or a khang...