VERSE 1   Kwanza; mapenzi safari, ujana ni maji ya moto, Walinenaga zamani   Mmmmh,   Pili; tumetoka mbali, Kwa matatizo changamoto, tu visavisa fulani   Eihhh, Oh   Tatu; kidonda chako kwangu maradhi, Mara tu usononekapo kwangu simanzi   Aih,   Tatu; kidonda chako kwangu maradhi, Oh yaani usononekapo kwangu simanzi      
Get Your Lyrics Here