Skip to main content

Posts

Nyashinski - Aminia Lyrics

Yey Niko hapa kuwapa mziki mzuri wako hapa kuwa famous Ama juu waliskia ma rapper wanapendwa na madem wanajiita lyricist Video gets a million views ahh Nyashinski  yeah Cedo  Ati Nyashi area si ulikam na ubaya Iko watu husema heri ungekwamia ulaya Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire Secular lakini unaandika gospel fire Shinski Si live a lie, najua nta sound kama niko ma drei juzi walai Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai  Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai TRUE STORY Klepto si mtarudiana lakini Hatujai achana tunaruadiana kwanini Na machali wa Inshalla mi name na hawa vijana wawili Tutazidi sana kando na kukosana ni ya nini Tusipimane akili mi nina kichaa Waambie waache kujichokesha akili mi ndo teacher Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear ona nimimi una prefer Chorus AMINIA Oh nana nana na na na na AMINIA Oh nana nana na na na na Eh AMINIA Oh nana nana na na na na  Eh AMINIA O...

Nyashinski - Malaika Lyrics

Uuuuu….—uuuuh yeah yeah  yeah eeeeh eh yeah yeah oooh  eeeh oooh ooh oh nananana nanah oh I love you bae…iiiibe yeeih yeeeh  yeeiiiih verse 1 Uko na tabia za kupendeza roho Tabasamu ya kupapasa macho Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo Urembo wako ulininasa roho siku ya kwanza kukuona kwa macho Sa moyoni umekwamia siwezi  kutania njoo unipunguzie mawazo And I feel you in my air when I breath  I see you in my dreams when I sleep You are the one I have been waiting for all my life Deep down my heart I believe nakufeel unanifeel hii ni real The one I have been waiting for my life chorus Uko sawa na wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndo mama yao Ni wewe nachagua sisemi nao , sisemi Oh baby Uko sawa na wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndo mama yao Wewe  nachagua sisemi oh sisemi oh—sisemi Uuuuh oh ilove you babe oh yeeah yeah yeah iih yeah verse 2 And even  though I’ve never been here ...

Willy Paul - Yes I Do Lyrics ft. Alaine

Love is a beautiful thing created by God (beautiful) He who finds a wife finds a good thing (good thing) Teddy B, Willy Paul and Alaine some saxophone sawa happy day Poze Poze Poze is in love (x2) Hello baby si unajua siku kuu ni leo Hello baby si unajua siku yetu leo Hello baby si unajua nakuoa leo Hello baby lile cake twalikata leo Hello baby baby baby Wewe ndi0 sweet pie we ndio nyama choma My sweet angel my oxygen yooh Say yes I do (yes I do) Baby baby yes I do (yes I do) Say yes I do (yes I do) Baby baby yes I do (yes I do) Say yes I do (yes I do) Baby baby yes I do (I do) Yes I yes I yes I do uh baby baby yes I do aah Yes I yes I yes I do uh baby baby yes I do aah Nimekubali mwito wako tena sito laugh at you Vile ulikubali mwito wangu nika fall in love with you Hello baby (sema) I really need to spend my life with you Baby yes I wanna be your wife boy I can only tell you yes I my heart I had a love dream like you yes Baby take my finger put a ring on it I thank ...

Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya Lyrics

Mmm mmm Mama ananambia Nassib mi ni mtu mzima na wee ndo nakutegemea Yanayotokea jaribu kupiga kimya usidiriki ata kuongea Mara nasikisikia vya aibu konda gwajima eti ugomvi umekolea Kuchunguza karibu ni binti mmoja kwa mitandao wanachochea Najariibu kunyamanza ila moyo hutakii Unaniambia eti simba japo unguruma uisemee hakii Ooh najaribu kunyamanza ata Laizer hataki yooh Anasema walau nena kidogo hiih Na mashabiki Dangote wananiambia mbona husemi chochote ah Si uko nao siku zote ama ulezi unafanya uogope ah Na media pande zote wanalalama kiongozi atoke eh Nchi inaingia matope niende wapi na mi mtoto wa wote Yani lawama wacha nikae kimya  nisiongee (Kimya) Ooh ninyamanze mimi (Nikae kimya) Nisiseme (Kimya) Mama kaniambia (Wacha nikae kimya) Ooh nifunge mudomo (Kimya) Mie bado mudogo sana (Nikae kimya) Nisiseme (Kimya) Mmh ni mengi majaribu najitahidi epuka yasije nikost Japo mengine swadakta mengine hayana maana Rafiki kipenzi wa karibu hata nyimbo yake sikuweza ipost Ila...

Mercy Masika - Shule Yako Lyrics

Baba nichukue ooh Baba nichukue nifunze nataka kusoma Kwa shule yako kwa shule yako Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Nikiwa nawe kama mwalimu ninajua nitahitimu Nitashinda adui akileta majaribu Unitayarishe unibadilishe mtihani nipite mwito nitimize Nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako Nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako Baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Shule yako hatudanganyi ni ukweli na uwazi Wanafunzi hawagomi mwalimu atujali Unifunze mipango wote niwaheshimu Yesu ni mwalimu Yesu ni mwalimu Nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako Nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako Baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako (x2) Oooh nifunze baba

Bahati ft Rayvanny – Nikumbushe Lyrics

Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Nikumbushe eh unikumbushe he nikumbushe eh unikumbushe Leo nyota imeng’aa nasahau nilikotoka Naidharau mitaa na mateso niliyosota aie Ndugu zangu kinyaa mafukara wananichosha Niache wafe na njaa nijisifu nitawanyosha eh Siri kwetu Kisumu bondo chakula haina swaga Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na burger eh Uniepushe maulana nisiishie njiani aah Unikumbushe ya jana kesho nipe thamani Kwenye maisha ya muziki ukiwa na upendo utaishi Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa kugombania viti Eti nimuache mama kwenye dhiki kisa mambo yangu yametiki Akipiga simu siishiki nikipokea nimwone kama shabiki Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Nikumbushe eh unikumbushe he nikumbushe eh uniku...

Christina Shusho – Akutendee Nini Lyrics

Halleluyah Yesu ni Bwana na wala hana mpinzani … Still alive! Wataka akutendee nini? Akutendee nini wee (x2) Neno moja nalitaka kwa bwana nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Ghala lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo Akutendee nini wee Wengine wanataka kuwa raisi wa nchi wengine wataka ubunge Nawe akutendee nini wee Mwengine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke Wataka akutendee nini wee Mama huyu ombi lake apate mtoto mwengine apate elimu Wataka akutendee nini wee mwambie mwambie mwambieee Wataka akutendee nini (mwambie) Akutendee nini wee (anasikia mwambiee) (x2) Wataka akutundee nini (atajibu mwambie) akutendee nini wee Nakumbuka mgonjwa birikani myaka thelathini na nane Alikuwa hajiwezi yeyee Yesu akatembelea birika lile akamuona mgonjwa yule Mara akaanza sababu zake (Malaika akifika anaingia kisimani anatibua maji na mimi nakua wa mwisho) Hee wataka akutendee nini wee Yesu akasema neno moja lishike godoro lako na uende uendee mara ak...