Skip to main content

Posts

"My Heart" Lyrics - Cassper Nyovest ft. Diamond Platnumz

This is for the ladies... All over the world Chorus Moyo wangu unaenda She give me joy make my heart go Diamond: She say she wanna go now Nikamwambia 'bu subiri Mara moja Hakusita, akangoja Nkampatia shoti mbili na soda Sijui aliumbwa muda gani Ila ni mzuri MashAlaah Akicheka mwenye furaha aini Akinuna utashangaa Muda wote natamani Niwe naye kila saa Nimwambie jinsi gani Mimi ni kiza yeye ni taa Tingalitingali kama vile lunch hour La jicho msumali figure nane sio Saba Hatari hatari wacha nipe case murder Kicase na asali yaani she's so beautiful Ngekutana stand wasami Chorus Cassper: I think I found the love of my life She's the only one that make me swallow my pride She always gets a way she used to it I let her get away coz she's good to me I always take her word coz she's true to it You know the love things kinda news to me I aint used to it You know we used to picking things at the club Everything free coz the know who we ar...

Jah Prayzah ft. Diamond - "Watora" Mari Lyrics

Jah Prayza oh darling, ukazunza mazakwatira watora mari,oh mari mama, oh darling, ano mira mira apa newe ndiani, wakanga uripiko inini ndiripo coz am falling every minute for you, i don't wanna let you go, baby show me something more, coz am falling every minute for you,

Chege - "Waache Waoane" ft. Diamond Platnumz Lyrics

Maji ya mtoto yamekuwa baridi lalalalaaaa Hakimu nimekuwa shaidi lalalalaa wiki ikishusha mateso yamezidi lalalalaa aloniliza ndo wakunikufariji lalalaaa Waache waoane waache waoane waache waoane waache waoane Yamedhibitisha macho lakini moyo unakataa Nimeamini kikulacho Ni yule unaona anakufaa

Diamond Platnumz ft. RayVanny - "Salome" Lyrics

Watch [Verse 1: RayVanny] Kioo hakidanganyi mama Umejipodoa umepodoka Mwendo na shape vyote mwanana Mi suruali yanidondoka Tukimbizane nini Salome wangu? Hiyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini Salome wangu? Ukimuona jongoo Inama kidogo Shika magoti Mi nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo sio roboti Chumbani bingiribingiri 'samasoti' [Chorus: Diamond Platnumz] Unantenkenyaga ukinyonga Salome (Unantekenyaga ukinyongaa) Unantenkenyaga ukinyonga kweli (Unantekenyaga ukinyongaa) Aaah orera bakuru vani Orera ngambee Orera na Zari ma Orera ngambe

Beka - Natumaini Lyrics

Ni upendo, natamani nikuone japo sura iniponye… We ndio nyota yangu kama TID Nikuudhi usinikimbie kama Amini Natumaini utanielewa zaidi ya yule Beka Nikuudhi ntakubembeleza kama Barnaba boy Usininywishe sumu ya mapenzi, Usiwe mama mbaya Mimi sio mgeni wa mapenzi, mwaumivu nayajua Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Ooh daima na milele mi nitakuwa nawe Maisha yangu yote kama Marlaw Daima na milele eeh mimi nitakuwa nawe, maisha yangu yote aah Hutosema bora ukimbie, kama Lina ooh Usiende kwa mganga kama Kasimu ooh

Elani - KooKoo Lyrics

Kuna watu hatari wenye mapenzi zenye siri kali Letu nalo lina jua kali Penzi letu serikali Wajua nakupenda malaika I’m going kookookoo so kookoo coz I love you Ayaya I’m going kookookoo so kookoo coz I love you Ayaya I’m going kookookoo so kookoo coz I love you I’m going kookoo nasijishuku why I love you Uuh ooh

Christina Shusho - Ee Bwana Umenichunguza Lyrics

Ee bwana umenichunguza, nakunijua Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu Umelifahamu wazo langu, tokea mbali Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote