Skip to main content

Posts

Beka - Natumaini Lyrics

Ni upendo, natamani nikuone japo sura iniponye… We ndio nyota yangu kama TID Nikuudhi usinikimbie kama Amini Natumaini utanielewa zaidi ya yule Beka Nikuudhi ntakubembeleza kama Barnaba boy Usininywishe sumu ya mapenzi, Usiwe mama mbaya Mimi sio mgeni wa mapenzi, mwaumivu nayajua Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Sio kisa pombe pombe ulonifanya niropoke Ooh daima na milele mi nitakuwa nawe Maisha yangu yote kama Marlaw Daima na milele eeh mimi nitakuwa nawe, maisha yangu yote aah Hutosema bora ukimbie, kama Lina ooh Usiende kwa mganga kama Kasimu ooh

Elani - KooKoo Lyrics

Kuna watu hatari wenye mapenzi zenye siri kali Letu nalo lina jua kali Penzi letu serikali Wajua nakupenda malaika I’m going kookookoo so kookoo coz I love you Ayaya I’m going kookookoo so kookoo coz I love you Ayaya I’m going kookookoo so kookoo coz I love you I’m going kookoo nasijishuku why I love you Uuh ooh

Christina Shusho - Ee Bwana Umenichunguza Lyrics

Ee bwana umenichunguza, nakunijua Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu Umelifahamu wazo langu, tokea mbali Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote

Kambua - Bado Nasimama Lyrics

Bado nasimama Bado naendelea Bado najikaza Nifike kule Verse 1 Bila nehema na rehema zako, ningekuwa wapi Mimi Bila upendo, na fadhili zako, maisha yangu yangekuwa bure Kwa wema wako, kanisimamisha, Na Imani yangu, ukaiweka salama Kama si wewe, Mwamba wa wokovu wangu Nisingeweza. Ningeangamia. Chorus x2 Bado nasimama Bado naendelea Bado najikaza Nifike kule Verse 2 Nainua macho yangu kwako wewe Baba yangu Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu ukatika bwana Hasinzii anilindaye, Haniachi mimi niteleze Anipa nguvu, na uwezo wake, Ili mimi nifike kule Nifike kule…

Diamond - Number One Lyrics

VERSE 1 Kwanza; mapenzi safari, ujana ni maji ya moto, Walinenaga zamani Mmmmh, Pili; tumetoka mbali, Kwa matatizo changamoto, tu visavisa fulani Eihhh, Oh Tatu; kidonda chako kwangu maradhi, Mara tu usononekapo kwangu simanzi Aih, Tatu; kidonda chako kwangu maradhi, Oh yaani usononekapo kwangu simanzi