Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2018

Navy Kenzo ft. Diamond Platnumz - KATIKA Lyrics

Nahreel: Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Ninamidadi ka ya ruba, eeh Kibao kata kinyonga, ooh-naa Mfukoni namavumba, weeeh Nungu chini linasunta, eeeh Yani bo bo bo bo boo Kananikoshaga robo ooo Yani nasimama de de de dee Kakitingisha wo wo wo wo Baby girl dance for me one time, seketoo Miono feni kunata, seketoo Tena jifunge na ngata, seketoo Zile za kibao kata, seketoo..② Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh.. Diamond Platnumz: Yani katot ni, kako ni ni nii Kamekazika ni ngi ngi ngii Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii Kana misifa shangi ngi ngii Nilikavizia kitamboo, aah eeh Loe kamenasa chambo, aah eeh Nkapakia na mgando, aah eeh Kajegeje karambo, aah eeh Kana michenzo ngomani Sindimba izombe Nami nampatia za pwani Muhogo wa jang’ombe Yani e e e ee Kananikoshaga roho o o o Waga nasimama de de de dee Kakitingisha wo wo wo wo Oooh yaaah, ooh nadendeaa Yani siwezi kutembea Che cheme na checheme Yani h...

Maua Sama - iokote ft. Hanstone Lyrics

Maua Sama: Hey... Hey .. ooooh... Oh Baby niruhusu tufanane Huku nikiamini one day utanioa baby nikikuona nabanwa na haja Baby nakuwanga kitoto ng'aa ng'aa Tell me, nikipi chakupa mawazo Oh baby wakati nakutunuku Mia Mia Maua x Hanstone Bridge: Kwa kichomi nikande Kwa Moto baridi zigande Kama ruba nigande tuwe wote Ah come baby come bae Msumari kwa nyundo nigongee Oh Monday to Sunday I love you... Chorus: Basi iokote Sio kwa bedi, kwa kochi, kitanda naichumia Iokote Nikiona kwa juu chini naizamia iokote Sungura Nipe karoti maharage sijazoea Iokote Nakunja goti napandisha Mori nachechemea Oh yeah baby baby.... Hanstone: Ukitoka kuoga nitengee ya Moto Moto Tingamo ka kitengee tutoke mtoko Ahh boda kwa boda tutembee chocho kwa chocho Tena nikichoka nibebee mie kwako mtoto Rafudhi ya Pemba rangi rangi ahee Nywele ya kihindi chambi chambi naree Cheza rafu Kona Bambi mpoko mpokovu Maua Sama: Refa katupa penalti aah aaheeeh Mpira ushawekwa kat...