[Verse 1] Hhhm Hhhm Hali Yangu Mbaya Anifikiria akipata muda (Akipata muda) Moyo ameshaugawa Pakacha penzi linavuja (Limeshavuja) Mwenzie nna pagawa nahisi uchizi Na network haisomi Hhhm Anayofanya si sawa nakosa usingizi Mwilini miwasho na vichomi Eeeiiihh!! [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimezidiwa Ni yeye..! Mwengine sioni kunitibia Uh! [Chorus] Kilio Oh Kilio Oh Kilio na penzi langu Kilio Oh Kilio Oh Huruma Haana Kilio Oh Kilio Oh Yarabi Mola wangu Kilio Oh Kilio Oh Japo simama [Verse 2] Yee ndio barafu Niliemlia yamini Pemba karafu marashi yangu mwilini Utamu wa ndafu Mbona ameuitia kwinini Amenichezea rafu Penzi amelikafili Eh..! Yee anajivinjali mwenzake nadoda Napata tu habari anagawa uroda Tetemeko moyo kupenda uoga Najiepusha mbali kukwepa vihoja [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh...
Get Your Lyrics Here