Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2017

Diamond Platnumz - Sikomi (Translation in English) Lyrics

Verse 1 Wanasemaga mapenzi safari,  Unavyopita ndo jinsi unajongea They say love is a journey, the more you move the closer you get (to real love) Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea But it seems I'm going far, and I'm not sure I'll reach since I'm walking . Niliposikiaga Habari,  Yakisifika nikakesha nangojea I heard the news of praises (when starting off as a musician) I stayed up at night waiting Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea God poured his blessings and I delved into music,  Ile pruuu mpaka Macca,  Nikadandiaga Bongo movie,  Kumbe mapenzi hayataki haraka While still in my pilgrimage (not yet 'arrived' as a musician), I hoped on to (fell in love with) a 'movie artist'  I still didn't know "love is slow"/love requires patience, there's no need to rush Ni kama tango natia tu chumyi I was impatient adding salt, eating a fruit when it wasn't yet ripe (Okay the word tango means a fr...

Diamond Platnumz - Sikomi Lyrics

Verse 1  Wanasema mapenzi safari unavyopita Ndo jinsi unajongea Ila niendapo ni mbali sijui ka Ntafika sababu natembea Niliposikia habari yakisifika Nkakesha najongea ah Akabariki Jalali nami nikawika Muziki nikauotea Ile pru mpaka maka Nikandandiaga Bongo Movie Kumbe mapenzi hayataki haraka Ni kama tango natia tu chumvi Mwenzenu nkaoza haswa Nakujitia kitandani mjuzi Eti nataka fukuza paka badala Ya mbwa nikafuga mbuzi Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki Ugomvi na mama angu akiniambia Siambiliki Moyo unaniambia Nasibu sasa mapenzi basi Ila nangangania najaribu kuipinga nafsi Esma ananiambia mdogo wangu Mapenzi basii Ila nangangania nikiumizwa na huyu Kesho nina mwingine Chorus Oh Mbona sikomi sikomi sikomi Licha ya mateso haya Najiuliza oh sikomi oh sikomi Mondi Sikomii Mola Jalali sikomi Licha ya mateso haya Verse 2  Alonifanyia wa central haki ya mungu Siyawezi sema, Ila nimejifunza kesho Siwaamini wacheza sinema Moyo waliupatia mat...