Bado nasimama Bado naendelea Bado najikaza Nifike kule Verse 1 Bila nehema na rehema zako, ningekuwa wapi Mimi Bila upendo, na fadhili zako, maisha yangu yangekuwa bure Kwa wema wako, kanisimamisha, Na Imani yangu, ukaiweka salama Kama si wewe, Mwamba wa wokovu wangu Nisingeweza. Ningeangamia. Chorus x2 Bado nasimama Bado naendelea Bado najikaza Nifike kule Verse 2 Nainua macho yangu kwako wewe Baba yangu Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu ukatika bwana Hasinzii anilindaye, Haniachi mimi niteleze Anipa nguvu, na uwezo wake, Ili mimi nifike kule Nifike kule…
Get Your Lyrics Here